Yao anahesabu siku kurejea kikosini

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
6 Nov 2025
Yao anahesabu siku kurejea kikosini

Mlinzi wa kulia wa Yanga Yao Kouassi 'Jeshi' ameendelea kujiimarisha kuelekea kufunguliwa kwa dirisha dogo la usajili Disemba 15.

Habari njema kwa Wananchi ni kuwa nyota huyo raia wa Ivory Coast atarejeshwa kikosini pale dirisha dogo litakapofunguliwa na bila shaka atajumuishwa katika kikosi cha ligi ya mabingwa ifikapo Januari 2025.

Yao alifanyiwa upasuaji mwezi May mwaka huu baada ya kusumbuliwa na majeraha ya goti kwa muda mrefu, akilazimika kukaa nje ya uwanja kwa miezi 6.

Katika dirisha lililopita Yanga ililazimika kumuondoa kwenye usajili huku nafasi yake ikichukuliwa na Frank Assink ambaye hata hivyo tangu asajiliwe hajafanikiwa kupenya katika kikosi cha kwanza.

Assink alitua Yanga kwa mkopo wa miezi sita ambapo dirisha dogo litakapofunguliwa anaweza kurejea Singida Black Stars na nafasi hiyo kuchukuliwa na Yao

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
4h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
8h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
12h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
13h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
13h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
16h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’