Mshambuliaji wa Yanga Clement Mzize ametajwa katika tuzo ya kuwania bao bora la msimu katika mashindano ya CAF 2024/25.
Ni lile bao alilofunga kwa shuti kali nje ya 18 katika mchezo wa ligi ya mabingwa (CAFCL) hatua ya makundi dhidi ya TP Mazembe uwanja wa Benjamin Mkapa.
Katika mchezo huo Yanga iliibuka na ushindi wa mabao 3-1 Mzize akifunga mabao mawili huku Stephane Aziz Ki akifunga bao jingine.

ADVERTISE HERE