Dabi ya Kariakoo sasa hadi March 2026

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
17 Nov 2025
Dabi ya Kariakoo sasa hadi March 2026

Bodi ya Ligi kuu Tanzania Bara imefanya marekebisho kwenye ratiba ya Michezo ya Ligi kuu ya NBC ambapo mchezo wa Kariakoo Dabi kati Yanga SC dhidi ya Simba SC mzunguko wa kwanza umesogezwa mbele hadi March 1,2026 saa 11: 00 jioni kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa.

Awali mchezo huo ulitakiwa kuchezwa December 13,2025 saa 11:00 jioni kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa.

Mchezo kati ya Tanzania Prisons dhidi ya Yanga sasa utapigwa Disemba 02 katika uwanja wa Sokoine, Mbeya.

Aidha mchezo wa Mzizima Dabi kati ya Simba SC dhidi ya Azam FC utachezwa December 6,2025 saa 12:30 jioni kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa.

Mchezo wa mzunguuko wa pili dabi ya Kariakoo kati ya Simba dhidi ya Yanga umepangwa kupigwa May 03, dimba la Mkapa

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
1h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
4h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
9h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
9h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
9h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
13h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’