Baada ya kuwasili visiwani Zanzibar mapema leo, Wananchi hawakuwa na muda wa kupoteza kwani jioni wakaendelea na maandalizi kuelekea mchezo wa ligi ya mabingwa kundi B dhidi ya AS FAR utakaopigwa Jumamosi, Novemba 22 uwanja wa New Amaan Complex.











ADVERTISE HERE