Wapinzani wa Yanga AS FAR kutua leo

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
19 Nov 2025
Wapinzani wa Yanga AS FAR kutua leo

Wakati Yanga ikiwa tayari iko visiwani Zanzibar ikiendelea na maandalizi ya mchezo wa kwanza wa kundi D ligi ya mabingwa dhidi ya AS FAR, wapinzani wao hao wanatarajiwa kuwasili visiwani Zanzibar leo.

Timu hiyo ya Jeshi la Morocco, inatarajiwa kuwasili Unguja majira ya saa 3 usiku kwa mujibu wa taarifa.

Siku ya Jumamosi Novemba 22, Yanga itakuwa mwenyeji wa AS FAR katika mchezo unaosubiriwa kwa hamu na mashabiki wa soka nchini.

Utakuwa mchezo wa kwanza wa hatua ya makundi CAFCL kupigwa visiwani Zanzibar Yanga ikichagua kutumia uwanja wa New Amaan Complex.

Yanga ilitua Zanzibar mapema jana na jioni kuendelea na maandalizi yake ya mchezo huo.

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
5h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
9h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
14h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
14h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
14h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
18h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’