Mshambuliaji wa Yanga Clement Mzize ameibuka mshindi wa tuzo ya goli bora la mwaka katika usiku wa tuzo za CAF huko Morocco.
Bao la shuti la nje ya 18 alilofunga katika mchezo wa ligi ya mabingwa dhidi ya TP Mazembe limechaguliwa kushinda tuzo hiyo.
Hongera Mzize, umeiheshimisha Yanga na Tanzania....!

ADVERTISE HERE