Diarra, Abuya waiwahi AS FAR

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
20 Nov 2025
Diarra, Abuya waiwahi AS FAR

Mlinda lango Djigui Diarra na kiungo Duke Abuya wamekamilisha idadi ya wachezaji waliokuwa kwenye majukumu ya timu za Taifa baada ya kuripoti kambini visiwani Zanzibar.

Yanga inaendelea na maandalizi ya mchezo wa kwanza wa hatua ya makundi CAFCL dhidi ya AS FAR ambao utapigwa Jumamosi Novemba 22 huku wachezaji hao wakishiriki mazoezi ya leo chini ya kocha mkuu Pedro Goncalves.

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
3h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
4h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
4h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
7h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
22h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
22h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’