Nyota wa Yanga wanaowania tuzo za TFF 2024/25

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
21 Nov 2025
Nyota wa Yanga wanaowania tuzo za TFF 2024/25

Tuzo za Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) msimu wa 2024/25 zimepangwa kufanyika Disemba 05 katika ukumbi wa Super Dome Masaki jijini Dar es salam.

Yanga imetoa nyota kadhaa ambao wanawania tuzo za CRDB na Ligi Kuu kama inavyoonekana hapa chini;

Mlinda lango Djigui Diarra ametajwa kuwania tuzo ya kipa bora kombe la CRDB na ligi kuu ya NBC.

Kiungo Stephane Aziz Ki na mshambuliaji Clement Mzize wakitajwa kuwania tuzo ya mchezaji bora wa kombe la CRDB wakichuana na Emanuel Keyekeh wa Singida BS

Dickson Job, Maxi Nzengeli na Pacome Zouzoua wametajwa kuwania tuzo ya mchezaji bora ligi kuu ya NBC (MVP) wakichuana na Feisal Salum (Azam FC) na Jean Ahoua (Simba).

Pacome pia ametajwa katika kinyang'anyiro cha kuwania tuzo ya kiungo bora akichuana na Fei Toto na Ahoua.

Job akatajwa tena katika tuzo ya beki bora akichuana na Anthony Trabi (Singida BS) na Lusajo Mwaikenda (Azam Fc).

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
5h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
8h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
13h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
13h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
13h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
17h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’