Hii ndio logo rasmi ya ligi ya mabingwa 2025/26

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
27 Nov 2025
Hii ndio logo rasmi ya ligi ya mabingwa 2025/26

Katika mechi za raundi ya kwanza hatua ya makundi CAFCL, klabu hazikuweka logo rasmi ya michuano hiyo kwenye jezi zao, baada ya mchakato wa upatikanaji wa logo hizo kuchelewa.

CAF wamezikabidhi logo klabu zote na sasa kuanzia mechi za raundi ya pili zitaonekana kwenye jezi upande wa bega la kushoto.

Wakati Yanga ikizundua jezi zake kwa ajili ya michuano hiyo iliibuka mijadala kuwa wamebandika logo ya msimu uliopita huku watani zao Simba wakitamba kuwa na logo mpya lakini ukweli ni kwamba Yanga ilitumia logo ya msimu uliopita kwa kuwa hawakuwa wamepokea logo mpya.

Lakini pia hata watani zao Simba ni kama 'walidownload' logo ya CAF ambayo nayo haikuwa sahihi.

Hatimaye CAF wamekabidhi logo rasmi na zitaanza kuonekana katika mechi zinazofuata mwishoni mwa wiki.

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
2h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
2h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
3h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
6h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
21h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
21h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’