Manji ndio kila kitu Yanga

Admin By Admin
β€’
17 Jun 2017
Manji ndio kila kitu Yanga
Yusuph Manji bado ni mtu muhimu sana ndani ya klabu ya Yanga jambo hilo halina mjadala.

Mafanikio iliyopata Yanga katika kipindi cha uongozi wake ni makubwa na timu inaweza kufanikiwa zaidi kama tutaendelea kuwa nae.

Tangu akumbwe na matatizo na kujiweka pembeni na hata kujiuzulu nafasi ya Mwenyekiti timu yetu imeyumba kiuchumi hiyo sio siri.

Hata kuchukua ubingwa wa VPL msimu huu ilikuwa juhudi za wachezaji waliokuwa na mapenzi ya dhati kwa klabu yetu.

Hebu fikiria wachezaji walikuwa wakishuka dimbani huku wakiwa hawajalipwa mishahara kwa miezi miwili, mitatu hadi minne.

Dirisha la usajili lilipofunguliwa tulishindwa kuwasajili wachezaji tuliowahitaji kutokana na ukata!

Tumeshuhudia tulivyoporwa Waziri Junior kisha Mbaraka Yusuph na Azam.

Kitendo cha Manji kuridhia kuendelea kuisaidia Yanga hasa kipindi hiki cha usajili ni ushindi mkubwa kwetu. Katika siku mbili tu tumeweza kuwasajili wachezaji tuliowataka.

Sasa tuna uhakika wa kuwabakisha wachezaji wetu wote muhimu wapinzani wetu sasa watatafuta pa kujificha.
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
3h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
4h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
4h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
7h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
22h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
23h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’