TFF yapunguza Ada kwa wachezaji wa Kigeni

Yanga Damu By Yanga Damu
β€’
1 Aug 2017
TFF yapunguza Ada kwa wachezaji wa Kigeni
Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kupitia kamati yake ya utendaji limefanya mabadiliko ya kanuni inayohusu malipo ya ada za wachezaji wa kigeni wanaocheza katika timu zinazoshiriki ligi kuu Tanzania Bara, ambapo sasa ada hiyo itakuwa ikilipwa kwa fedha za kitanzania badala ya fedha za kigeni.

Baada ya mabadiliko hayo, kanuni hiyo ya 57 (5) ya ligi hivi sasa itasomeka : "Mchezaji yeyote wa kigeni anayesajiliwa katika ligi kuu atalipiwa ada maalum ya shilingi milioni mbili (Sh 2,000,000) kwa msimu kwa mchezaji mmoja ili usajili wake uweze kuthibitishwa na kuruhusiwa kucheza"

Gharama za awali zilikuwa ni dola 2,000 za Marekani (sawa na Sh. 4.5 milioni.) kwa mchezaji mmoja.
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
11h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
11h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
14h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
15h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
19h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
19h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
20h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’