Kamwe afafanua program ya mazoezi Yanga

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
10 Dec 2025
Kamwe afafanua program ya mazoezi Yanga

Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Yanga Ali Kamwe amesema kikosi kitarejea mazoezini Disemba 15 baada ya mapumziko yaliyotolewa na kocha Pedro Goncalves kuanzia Disemba 07.

Kamwe amesema baada ya kurejea timu itajifua kwa siku tano hadi Disemba 20 ambapo wachezaji watapewa tena mapumziko kwa ajili ya sikukuu ya Christmass.

Baada ya sikukuu, Yanga itarejea tena mazoezini Disemba 29 kujiandaa na ratiba ya mechi za ligi kuu, ligi ya mabingwa na kombe la CRDB.

"Benchi letu la ufundi limetangaza mapumziko kuanzia tarehe 7 Desemba mpaka tarehe 15 Desemba, wakirejea tarehe 15 watafanya mazoezi mpaka tarehe 20 Desemba."

"Kisha watapumzika tena mpaka tarehe 28 Desemba na Wachezaji watapata fursa ya kwenda kusherehekea sikukuu na familia zao kabla ya kurejea tena mazoezini tarehe 29 kwa ajili ya maandalizi"

"Wote tunafahamu kuwa mwezi Januari tuna mechi za kimataifa pamoja na za nyumbani kwa kutegemea ratiba ya bodi ya ligi itakavyopangwa," alisema Kamwe

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
2h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
6h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
10h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
11h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
11h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
14h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’