Mzize aongeza matumaini, kuwahi mechi za CAFCL

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
11 Dec 2025
Mzize aongeza matumaini, kuwahi mechi za CAFCL

Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Yanga Ali Kamwe jana alithibitisha mshambuliaji Clement Mzize ameanza mazoezi mepesi ikiwa sehemu y program yake y matibabu baada ya upasuaji wa goti.

Kamwe amewapa matumaini mashabiki wa Yanga kuwa mshambuliaji huyo anaweza kuwa tayari kurejea kikosini mwishoni mwa mwezi Januari 2026 au mwanzoni mwa Februari.

Aidha beki Yao Kouassi yeye amepona majeraha na kuanza mazoezi maalum ya utimamu wa mwili nae akitarajiwa kurejea kikosini mwishoni mwa Januari 2026 au mwanzoni mwa February pia.

Nyota hao wanaweza kuwa tayari kabla ya mechi zinazofuta ligi ya mabingwa dhidi ya Al Ahly zitakazopigwa katika kipindi wanachotarajiwa kurejea.

Yanga inatarajiwa kumuongeza Yao katika kikosi chake baada ya kumuacha nje kwenye dirisha lililopita akiuguza jeraha baada ya kufanyiwa upasuaji wa goti mwezi May mwaka huu.

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
18m ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
41m ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
4h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
4h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
8h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
9h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
9h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
19h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
19h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
22h ago
READ MORE β†’