Yanga ndani ya klabu 500 bora Duniani

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
18 Dec 2025
Yanga ndani ya klabu 500 bora Duniani

Wakati 2025 ikielekea ukingoni, Shirikisho la Kimataifa la kutunza historia na takwimu za soka (IFFHS), limetoa orodha ya klabu 500 bora Duniani kuanzia Disemba 1 2024 hadi Noveemba 30 2025.

Katika orodha hiyo, Yanga ni miongoni mwa klabu 31 kutoka Afrika ambazo zimepenya kwenye 500 bora.

Yanga imeshika nafasi ya 159 Duniani huku ikiwa nafasi ya 7 Afrika. Watani zao Simba wameshika nafasi ya 11 Afrika na nafasi ya 192 Duniani.

Klabu ya Pyramids imeendelea kuongoza orodha ya klabu bora Afrika huku ikishika nafasi ya 30 Duniani.

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
11h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
14h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
19h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
19h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
20h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
23h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’