Inaelezwa ni suala la muda tu, Yanga itatambulisha usajili wa mshambuliji Emmanuel Mwanengo kutoka klabu ya TRA United.
Mwanengo anamuda kucheza nafasi zote eneo la ushambuliaji akitajwa kutua Jangwani kuimarisha safu hiyo.
Kabla ya kusajiliwa na Tabora United (sasa TRA United), Mwanengo amewahi kucheza soka la kulipwa Tajistan.
Ni mwendelezo wa Yanga kusajili vijana wa ndani wenye vipaji ili kuwaandaa kuwa wachezaji muhimu baadae.
ADVERTISE HERE