Stars yaanza kwa kupoteza Afcon 2025

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
24 Dec 2025
Stars yaanza kwa kupoteza Afcon 2025

Timu ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars' imeanza vibaya michuano ya Afcon 2025 huko Morocco ikikubali kipigo cha mabao 2-1 dhidi ya Nigeria katika mchezo wa kwanza kundi C.

Vijana wa kocha Miguel Gamondi walicheza kwa nidhamu n tahadhari kubwa huku wakitumia mashambulizi ya kujibu.

Nigeria walifunga bao lao la kwanza kwenye dakika ya 36 kupitia kwa Semi Ajay akimalizia krosi ya Iwobi.

Stars walirejea mchezoni dakika chache baada ya kuanza kipindi cha pili kupitia kwa Charles Mmombwa aliyemalizia kwa umahiri pasi ya Novatus Dismas.

Hata hivyo Nigeria walifunga bao la pili dakika chache baadae kupitia kwa Ademola Lookman.

Stars ilimaliza mchezo huo kwa nguvu kubwa na pengine walikuwa na nafasi ya kusawazisha kwenye dakika za lala salama.

Stars imepoteza mchezo huo lakini unaweza kusema timu ilicheza vyema hasa kwenye kipindi cha pili.

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
5h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
6h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
9h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
10h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
14h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
14h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
14h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’