Mwamnyeto bado ni nguzo imara Stars

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
24 Dec 2025
Mwamnyeto bado ni nguzo imara Stars

Beki Bakari Nondo Mwamnyeto jana amedhihirisha kwa nini kocha wa Taifa Stars Miguel Gamondi alimjumuisha kwenye kikosi chake kinachoshiriki michuano ya Afcon 2025 inayoendelea huko Morocco.

Licha ya kupoteza mchezo wa kwanza kundi C Tanzania ikifungwa mabao 2-1 dhidi ya Nigeria, Mwamnyeto akishirikiana vyema na Ibrahim Bacca na nyota wengine, walifanya kazi nzuri sana kwenye safu ya ulinzi.

Katika mchezo huo, Gamondi aliamua kuanza na pacha ya Mwamnyeto na Ibrahim Bacca eneo la mabeki wa kati huku Dickson Job akiingia kipindi cha pili akitumika kama mlinzi wa kulia.

Mshambuliaji hatari wa Nigeria Victor Osimhen pengine hatawasahau vitasa hao wa Yanga kwani walihakikisha hafungi kwenye mchezo huo.

Mwamnyeto ameendelea kudhihirisha ni beki imara wa kati akilinda kiwango chake kwa muda mrefu licha ya kutopata nafasi ya kucheza mara kwa mara Yanga.

Mwamnyeto ni kiongozi awapo uwanjani. Ni mwepesi kwenye matukio ya hatari na pia ni mwepesi kufuta makosa yanayojitokeza katika safu ya ulinzi.

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
54m ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
1h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
11h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
11h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
14h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
19h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
22h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
23h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
1d ago
READ MORE β†’