Yanga Princess tayari kuwakabili Simba Quens WPL

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
27 Dec 2025
Yanga Princess tayari kuwakabili Simba Quens WPL

Ligi Kuu ya Wanawake WPL inazidi kushika kasi amapo leo Jumapili, mchezo wa kwanza wa dabi ya Kariakoo kwa kinadada msimu huu utapigwa.

Yanga Princess itakuwa mwenyeji wa Simba Queens katika mchezo utakaopigwa uwanja wa Azam Complex saa 12 jioni.

Ni katika msimu ambao kinadada Wananchi wamesema unyonge sasa basi, wakiingia 'mazima' kwenye vita ya kuwania ubingwa.

Yanga Princess iko kileleni mwa msimamo wa ligi ikikusanya alama zote 12 kutoka kwenye michezo minne waliyocheza.

Simba Queens wanafuatia nafasi ya pili wakiwa nyuma kwa tofauti ya mabao.

Hivyo ni mchezo ambao alama zake tatu zina thamani kubwa katika vita ya ubingwa msimu huu.

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
1h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
6h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
6h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
7h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
10h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’