Ni Yanga Princess dhidi ya Simba Queens leo

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
28 Dec 2025
Ni Yanga Princess dhidi ya Simba Queens leo

Leo ni Derby ya Kariakoo ya kinadada, Yanga Princess ikiwa mwenyeji wa Simba Queens katika mchezo utakaopigwa saa 12 jioni kwenye uwanja wa Azam Complex.

Baada ya misimu mitatu ya kujenga timu, unaweza kusema Yanga Princess sasa wamejipata, wakianza vyema msimu kwa kushinda mechi zote nne walizocheza.

Dhamira ya kulitaka taji la ligi ya Wanawake (WPL) inapaswa ianze kuonekana leo kwa kushinda dhidi ya Simba Queens, moja ya washindani wakuu katika mbio za ubingwa.

Unapozungumzia ligi ya Wanawake utazitaja JKT Queens na Simba Queens zilijimikisha ligi hiyo kwa misimu kadhaa lakini msimu huu Yanga Princess imeonyesha mapema inataka kumaliza umalkia wa timu hizo.

Mashabiki wa Yanga wameaswa kujitokeza kwa wingi dimba la Azam Complex kuishangilia Yanga Princess katika mchezo huo ambao hautakuwa na kiingilio.

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
1h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
1h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
1h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
5h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
20h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
20h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
23h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’