Baada ya kupoteza mchezo uliopita dhidi ya Simba Queens, kinadada wa Yanga Princess wamerejea katika makali yao wakiishushia Ceasiaa Queens kipigo cha mabao 4-0.
Mabao ya Yanga Princess yalifungwa na Jeaninne Mukandayisenga aliyepachika mabao mawili, Kalsa Arega na Adebis nao wakizifumania nyavu.
Ni ushindi mwingine mkubwa kwa Yanga Princess msimu huu sasa wakifikisha alama 15 kutoka mechi sita

ADVERTISE HERE