Nyakati ngumu hupita

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
8 Jan 2026
Nyakati ngumu hupita

Baada ya kukosekana uwanjani kwa takribani miezi 8, mlinzi wa kulia wa Yanga Yao Kouassi 'Jeshi' juzi alirejea rasmi katika mchezo dhidi ya TRA United dimba la New Amaan Complex.

Katika mchezo huo ambao Yanga iliibuka na ushindi wa bao 1-0 na kukata tiketi ya nusu fainali ya kombe la Mapinduzi, Yao alitumika kwa takribani dakika 10.

Zilikuwa nyakati bora kwake akirejesha matumaini ya kuendelea na majukumu yake kama mchezaji baada ya kipindi kigumu.

Ilikuwa furaha kwake na hata benchi la ufundi ambao walifanya kazi kubwa kuhakikisha mlinzi huyo mahiri wa kulia anarejea uwanjani.

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
7h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
8h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
11h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
12h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
16h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
16h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
16h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’