Matchday; Yanga vs Singida BS, Mapinduzi Cup

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
9 Jan 2026
Matchday; Yanga vs Singida BS, Mapinduzi Cup

Mabingwa wa soka Tanzania Bara Yanga leo watakuwa dimba la New Amaan Complex visiwani Zanzibar kuikabili Singida Black Stars kwenye mchezo wa nusu fainali kombe la Mapinduzi.

Mtanange huo unaosubiriwa kwa hamu na mashabiki wa soka nchini, utapigwa kuanzia saa 2:15 usiku.

Jana Azam Fc walitangulia fainali baada ya kuichapa Simba bao 1-0 katika mchezo mwingine wa nusu fainali.

Mshindi wa mchezo wa leo atachuana na Azam Fc kwenye fainali itakayopigwa Januari 13 Gombani, Pemba.

Ni wazi haitakuwa mechi nyepesi lakini mkufunzi wa Yanga Pedro Goncalves amesema vijana wake watapambana ili kuhakikisha wanatinga fainali.

Goncalves analisaka taji lake la kwanza akiwa na Yanga, akirithi mikoba iliyoachwa na Romain Folz ambaye licha ya kuwatumikia Wananchi kwa muda mfupi aliwapa taji la Ngao ya Jamii.

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
19m ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
37m ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
43m ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
10h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
11h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
13h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
18h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
21h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
22h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
1d ago
READ MORE β†’