Tchakei akwama Yanga

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
11 Jan 2026
Tchakei akwama Yanga

Licha ya kuitumikia Yanga katika michuano ya kombe la Mapinduzi, kiungo mshambuliaji Mauruf Tchakei bado hajasaini mkataba wa kuwatumikia mabingwa hao wa soka nchini, imefahamika.

Imeelezwa kocha mkuu wa Yanga Pedro Goncalves alihitaji kumuona kiungo huyo aliyetoka klabu ya Singida Black Stars kabla ya kuidhinisha usajili wake.

Lakini baada ya Yanga kufanikisha usajili wa Mganda Allain Okello, ni wazi mpango wa kumsajili Tchakei umefutika.

Nyota huyo anatarajiwa kurejea katika klabu yake ya Singida Black Stars kuendelea na majukumu yake.

Okello anatarajiwa kutua nchini siku ya kesho Jumatatu na moja kwa moja kuelekea visiwani Zanzibar kuungana na kikosi cha Yanga.

Keshokutwa Jumanne Yanga inakabiliwa na mchezo wa fainali kombe la Mapinduzi dhidi ya Azam Fc utakaopigwa Gombani, Pemba

 

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
3h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
3h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
6h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
7h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
11h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
12h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
12h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
22h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
22h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’