Ni rasmi Yanga imetambulisha usajili wa kiungo mshambuliaji fundi kutoka Uganda Allan Okello (25).
Okello anatua Yanga akitokea klabu ya Vipers Fc, akisaini mkataba wa miaka miwili na nusu.
Ni usajili uliokuwa ukisubiriwa kwa hamu na mashabiki wa Yanga. Rais wa Yanga Injinia Hersi Said alikwenda mwenyewe Uganda kukamilisha usajili huu.
Habari ndio hiyo, Okello ni Mwananchiiiii..!
ADVERTISE HERE