Yanga Bingwa Kombe la Mapinduzi

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
13 Jan 2026
Yanga Bingwa Kombe la Mapinduzi

Mataji yanaendelea kumiminika Jangwani leo kombe la Mapinduzi likiongeza idadi Yanga ikiibuka na ushindi wa mikwaju ya penati 5-4 dhidi ya Azam Fc baada ya matokeo ya suluhu ya bila kufungana.

Zilikuwa dakika 120 ngumu Azam FC wakiendeleza utamaduni wao wa kuipa Yanga mechi ngumu kila timu hizo zinapokutana.

Nafasi adimu ya mkwaju wa penati ambayo Yanga waliipoteza kwenye muda wa nyongeza kupitia Pacome Zouzoua, ilipelekea mchezo huo kuamuliwa na changamoto ya mikwaju ya penati.

Mlinda lango Aboutwalib Mshery alikuwa shujaa kwenye changamoto ya penati akiokoa mkwaju mmoja ulioibeba Yanga kuibuka na ubingwa huo. Emmanuel Mwanengo, Prince Dube, Pacome Zouzoua, Mudathir Yahya na Bakari Mwamnyeto wakifunga penati za Yanga

Ni taji la kwanza kwa kocha Pedro Goncalves na benchi lake la ufundi

Maxi Nzengeli ameibuka mchezaji bora wa michuano hiyo (MVP)

HONGERA YANGA, HONGERA WANANCHI..

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
4h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
7h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
12h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
12h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
12h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
16h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’