Kiungo mshambuliaji Allan Okello ameanza rasmi kujifua na kikosi cha Yanga siku chache tangu ajiunge na mabingwa hao wa nchi.
Hakuna muda wa kupoteza kwani nyota huyo atatumika kwenye michuano ya ligi ya mabingwa, Yanga ikitarajiwa kuumana na Al Ahly Januari 23.








ADVERTISE HERE