Klabu ya Radomiak Radom jana ilimuaga rasmi aliyekuwa mshambuliaji wao Laurindo Dilson Maria Aurelio 'Depu' ambaye amejiunga na klabu ya Yanga.
Radomiak Radom imethibitisha imemuuza Depu kwa mabingwa hao wa soka Tanzania, Yanga ikitajwa kutumia zaidi ya Milioni 700 kukamilisha usajili wake.
Depu anasubiri kutambulishwa na Yanga, pengine utambulisho huo utafanyika leo.

ADVERTISE HERE