Yanga Princess dimbani dhidi ya JKT Queens leo

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
18 Jan 2026
Yanga Princess dimbani dhidi ya JKT Queens leo

Ligi Kuu ya Wanawake inaendelea leo ambapo kinadada wa Yanga Princess watakuwa uwanja wa Azam Complex kuikabili JKT Queens.

Huu ni mchezo ambao Yanga Princess itahitaji ushindi ili kuendelea kusalia katika mbio za ubingwa.

Yanga Princess ilipoteza mchezo dhidi ya Simba Queens, hivyo haipaswi kupoteza dhidi ya JKT Queens kwani kipigo sio tu kitawaondoa katika nafasi ya pili lakini pia kitapunguza nafasi yao katika mbio za ubingwa.

Msimu huu Yanga Princess imeimarika zaidi ikishinda mechi sita kati ya saba walizocheza mpaka sasa kwenye ligi.

Wako nyuma ya vinara wa ligi hiyo Simba Queens kwa tofauti ya alama 1, wakiwa na alama 18.

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
19m ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
5h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
5h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
5h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
8h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’