Yanga Princess yaichapa JKT Queens 1-0 WPL

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
18 Jan 2026
Yanga Princess yaichapa JKT Queens 1-0 WPL

Yanga Princess imechukua alama tatu muhimu mbele ya JKT Queens leo ikipata ushindi wa bao 1-0 katika mchezo wa ligi kuu ya Wanawake uliopigwa uwanja wa Azam Complex.

Alikuwa ni Precious Christopher aliyeweka kambani bao pekee la Yanga Princess kwenye dakika ya 85.

Ni alama tatu ambazo znaiweka Yanga Princess katika nafasi ya pili wakifikisha alama 24 nyuma ya Simba Queens inayoongoza ligi ikiwa na alama 25.

Msimu huu Yanga Princess imekataa unyonge, malengo ni kutwaa ubingwa...!

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
1h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
6h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
6h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
6h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
10h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’