Diarra tayari kwa safari ya Misri

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
20 Jan 2026
Diarra tayari kwa safari ya Misri

Mlinda lango Djigui Diarra leo alikuwa sehemu ya kikosi cha Yanga kilichokamilisha maandalizi ya mwisho kabla ya safari ya kuelekea Misri.

Kesho Jumatano Alfajiri Yanga itaondoka nchini kuelekea Misri tayari kwa mchezo wa raundi ya tatu kundi B michuano ya ligi ya mabingwa dhidi ya Al Ahly utakaopigwa Ijumaa Januari 23.

Diarra alirejea nchini hivi karibuni baada ya kuiongoza Mali hatua ya robo fainali michuano ya Afcon 2025.

Mkufunzi wa Yanga Pedro Goncalves alimpa mlinda lango huyo mapumziko ya siku chache na leo amerejea rasmi kikosini.

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
7h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
7h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
11h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
11h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
15h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
16h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
16h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’