Yanga yarejea kutoka Misri

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
25 Jan 2026
Yanga yarejea kutoka Misri

Kikosi cha Yanga kimerejea salama kutoka Misri baada ya mchezo wa ligi ya mabingwa dhidi ya Al Ahly uliopigwa juzi huko Alexandria.

Wananchi sasa wanaelekeza nguvu kwenye mchezo wa ligi kuu dhidi ya Dodoma Jiji utakaopigwa Jumanne, Januari 27 katika uwanja wa KMC Complex.

Baada ya mchezo huo Yanga itaelekea visiwani Zanzibar kukamilisha maandalizi ya mchezo wa ligi ya mabingwa dhidi ya Al Ahly utakaopigwa Jumamosi, Januari 31.

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
3h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
7h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
11h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
12h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
12h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
15h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’