Chirwa aende, abaki?

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
1 Jun 2018
Chirwa aende, abaki?
Mkataba wa Mzambia Obrey Chirwa unaelekea ukingoni, mwishoni mwa mwezi huu kinara huyo wa mabao katika kikosi cha Yanga msimu huu atakuwa mchezaji huru.

Kumekuwa na sintofahamu juu ya hatma yake, akihusishwa na vilabu vya Azam FC na Simba.

Mwenyewe pia amedai kuwa na ofa nyingi mkononi za timu kutoka Mataifa mbalimbali.

Majeruhi na 'migomo baridi' ilimfanya Chirwa akose baadhi ya michezo muhimu ya Yanga kwenye msimu uliomalizika.

Lakini yote hayo yalichangiwa kwa kiasi kikubwa na hali isiyoridhisha ya kiuchumi iliyoikumba Yanga.

Uwezo wake sio wa kutilia shaka. Bado ni mshambuliaji muhimu anayeweza kuisaidia Yanga msimu ujao.

Hata hivyo haitakuwa kazi rahisi kumshawishi asaini mkataba mpya kwani hata wakati anasajiliwa, Chirwa aliigharimu Yanga karibu Mil 200
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
3h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
6h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
11h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
12h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
12h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
15h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’