Matchday ; Yanga vs Dodoma Jiji, NBC PL, Jan 27

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
27 Jan 2026
Matchday ; Yanga vs Dodoma Jiji, NBC PL, Jan 27

Kikosi cha Yanga leo kitashuka uwanja wa KMC Complex saa 1 usiku kuikabili Dodoma Jiji katika mwendelezo wa ligi kuu ya NBC.

Ni ratiba ngumu kwa Wananchi kwani wamepumzika siku moja tu tangu warejee kutoka Misri ambao walicheza mechi ya ligi ya mabingwa dhidi ya Al Ahly.

Kocha Msaidizi wa Yanga Patrick Mabedi amesema hakukuwa na muda wa kutosha kujiandaa na mchezo huo lakini wana kikosi kipana, matumaini yao ni kufanya vyema katika mchezo huo.

Timu zilitaarifiwa mapema kuwa tayari kukabiliana na ratiba ngumu baada ya kumalizika kwa michuano ya Afcon 2025.

Ligi zote zinapaswa kumalizika mwishoni mwa mwezi May ili kupisha michuano ya kombe la Dunia 2026 inayotarajiwa kuanza mwezi Juni.

Baada ya mchezo huo Yanga itaelekea visiwani Zanzibar kukamilisha maandalizi ya mchezo wa ligi ya mabingwa dhidi ya Al Ahly utakaopigwa Jumamosi, Januari 31 uwanja wa New Amaan Complex.

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
1h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
6h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
6h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
6h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
10h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’