Happy Birthday Maxi

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
30 Jan 2026
Happy Birthday Maxi

Leo ni kumbukumbu ya kuzaliwa kiungo mshambuliaji wa Yanga Maxi Nzengeli. Akiwa kwenye msimu wake wa tatu na Wananchi, Maxi bado ni yuleyule.

Kuanzia mwanzo wa msimu huu, amebadilishiwa majukumu akitumika zaidi katika eneo la kiungo.

Maxi ameendelea kuwa mchezaji muhimu katika kikosi cha kocha Pedro Goncalves akiwa na uhakika wa nafasi katika kikosi cha kwanza.

Katika siku hii ya kumbukumbu ya kuzaliwa kwake, Maxi na wachezaji wengine wako visiwani Zanzibar wakikamilisha maandalizi ya mchezo wa ligi ya mabingwa dhidi ya Al Ahly utakaopigwa kesho dimba la New Amaan Complex.

HAPPY BIRTHDAY MAXI...!

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
53m ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
3h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
4h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
7h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
16h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
21h ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
1d ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
1d ago
READ MORE β†’
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
1d ago
READ MORE β†’