Yanga imefunga dirisha la usajili kibabe

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
31 Jan 2026
Yanga imefunga dirisha la usajili kibabe

Dirisha la usajili limefungwa majira ya saa 5:59 usiku, Rais wa Yanga Injini Hersi Said akaamua dirisha hili lisifungwe kinyonge.

'Usiku mnene' Yanga ikatambulisha usajili wa winga hatari raia wa Gambia, Buba Jammeh (24).

Hii ilikuwa sapraisi kwelikweli kwa Wananchi kwani ni usajili uliofanyika dakika za jioooni.

Buba ametua Yanga akitokea klabu ya Interclube ya Angola, akimudu kucheza nafasi zote za winga. Ni kama Yanga imeamua kuleta mbadala wa Ecua Celestin aliyetolewa kwa mkopo JS Kabylie kwani Buba nae anatumia mguu wa kushoto.

Ni wazi sasa usajili wake umemuondoa kiungo Moussa Balla Conte ambaye Yanga ilipokea ofa kadhaa kwa ajili yake ikiwemo klabu ya Raja CA.

Karibu Jangwani Buba...!

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
6h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
9h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
14h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
14h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
14h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
18h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’