Kikosi cha Yanga leo kimekamilisha maandalizi yake mwisho jijini Dar es salaam kabla ya safari ya kuelekea Morocco hapo kesho mchana.
Yanga inakabiliwa na mchezo wa raundi ya tano kundi B CAFCL dhidi ya AS FAR siku ya Jumamosi.
Wananchi wanahitaji kushinda mchezo huo ili kutinga robo fainali ya michuano hiyo.









ADVERTISE HERE