Depu atwaa tuzo ya NIC Januari 2026

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
6 Feb 2026
Depu atwaa tuzo ya NIC Januari 2026

Mshambuliaji wa Yanga Laurindo Dilson Aurelio 'Depu' ameibuka mchezaji bora wa mwezi Januari 2026, akibeba tuzo inayotolewa na wadhamini NIC.

Depu aliyetua Yanga kwenye usajili wa dirisha dogo, hajahitaji muda kuthibitisha ubora wake kwani katika mechi mbili alizocheza mwezi Januari alipachika mabao matatu huku akitoa pasi moja ya bao.

Alifunga bao lake la kwanza katika mchezo dhidi ya Mashujaa Fc na kisha kupachika mabao mawili katika mchezo dhidi ya Dodoma Jiji.

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
3h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
4h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
7h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
11h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
15h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
15h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
18h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
1d ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
1d ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’