Yanga yaondoka Morocco

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
9 Feb 2026
Yanga yaondoka Morocco

Kikosi cha Yanga kimeondoka Morocco kurejea Tanzania baada ya mchezo dhidi ya AS FAR uliopigwa juzi Wananchi wakikubali kipigo cha bao 1-0.

Msafara wa Yanga uliondoka Rabat Jumapili saa 2 usiku hadi Casablanca ambako walichukua ndege safari hii wakipitia Lagos Nigeria kuunganisha ndege nyingine ya jijini Dar es salaam.

Timu inatarajiwa kuwasili nchini jioni ya leo Jumatatu ambapo kesho wataanza maandalizi ya mchezo wa kuhitimisha hatua ya makundi CAFCL dhidi ya JS Kabylie.

Jumapili Februari 15 Yanga itakuwa mwenyeji wa JS Kabylie katika mchezo ambao Wananchi wanahitaji ushindi ili kuwa na nafasi ya kufuzu robo fainali kutegemeana na matokeo ya mchezo kati ya Al Ahly dhidi ya AS FAR.

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
10m ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
4h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
5h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
5h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
8h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
23h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’