Yanga bado imo 10 bora CAF

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
17 Feb 2026
Yanga bado imo 10 bora CAF

Licha ya kushindwa kupenya robo fainali ya michuano ya ligi ya mabingwa barani Afrika (CAFCL), Yanga imesogea hadi nafasi ya 10 kwenye msimamo wa CAF wa vilabu Afrika.

Yanga imemaliza nafasi ya tatu kundi B, ikikusanya jumla ya alama 35 katika kipindi cha miaka mitano iliyopita ya ushindi wa michuano ya CAF.

Imepanda juu kwa nafasi ya mbili kutoka nafasi ya 12 msimu uliopita. Inaweza kuonekana msimu huu Yanga haijafanikiwa kwenye malengo yake lakini ni wazi katika kipindi cha miaka mitano imepiga hatua kubwa.

Imeingia hatua ya makundi ya ligi ya mabingwa kwa misimu mitatu mfululizo, msimu mmoja ikicheza robo fainali.

Lakini pia katika miaka mitano, Yanga imeweza kucheza fainali ya kombe la Shirikisho ikiwa ndio hatua kubwa zaidi Wananchi wakikaribia kuwa mabingwa lakini kanuni zikagoma kuwa upande wao.

Mafanikio haya yote yamepatikana tangu Mfadhili/Mdhamini wa Yanga GSM alipoanza uwekezaji wake akiwa ameirejesha Yanga kwenye medani za Kimataifa.

Katika mashindano ya ndani hakuna mjadala kwani katika kipindi cha miaka minne, Yanga imeshinda mataji yote ya ndani, wakifanya hivyo katika kila msimu.

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
7h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
10h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
15h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
15h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
15h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
19h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’