Michakato ujenzi wa uwanja Yanga inaendelea

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
25 Feb 2026
Michakato ujenzi wa uwanja Yanga inaendelea

Uongozi wa Yanga chini ya Rais Injinia Hersi Said jana ulifanya kikao na ofisi ya Mratibu wa Miradi (TARURA), Mhandisi Humphrey Kanyenye.

Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Yanga, kikao hicho kilijadili namna bora ya kushirikiana kwenye mradi wa ujenzi wa Uwanja wa klabu ili kuhakikisha mradi huo unakidhi matakwa yote ya serikali kwenye eneo la mradi.

Kikao hicho pia kilihudhuriwa na Wadau mbalimbali wa mradi huo.

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
2h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
7h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
7h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
8h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
11h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’