Kikosi cha Yanga kimeondoka jijini Dar es salaam kuelekea visiwani Zanzibar tayari kwa mchezo wa ligi kuu dhidi ya Simba ambao utapigwa Jumapili March 1 katika uwanja wa New Amaan Complex.
Wananchi watakuwa na siku tatu za kukamilisha maandalizi kabla ya mtanange huo dhidi ya watani zao wa jadi, Simba.








ADVERTISE HERE