Baada ya kuwasili visiwani Zanzibar mapema leo, kikosi cha Yanga hakikuwa na muda wa kupoteza kwani jioni kimeanza maandalizi kelekea mchezo wa ligi kuu dhidi ya Simba.
Mchezo huo utapigwa Jumapili March 1 katika uwanja wa New Amaan Complex.











ADVERTISE HERE