Kikosi cha Yanga kimewasili salama mkoani Dodoma wakiwa safarini kuelekea Singida wanakokabiliwa na mchezo wa ligi kuu dhidi ya Singida BS siku ya Alhamisi.
Baada ya kuwasili Dodoma, Yanga imeunganisha moja kwa moja kuelekea Singida kwa usafiri wa basi.
Vijana wa kocha Pedro Goncales watakuwa na siku mbili za maandalizi mkoani Singida kabla ya kuwakabili walima alizeti hao.





ADVERTISE HERE