Mmoja wa Wajumbe wa Kamati ya utendaji ya Yanga Salum Mkemi ametangaza kujiuzulu wadhifa wake kufuatia matokeo mabovu ya Yanga.
kupitia ukurasa wake wa mtandao wa Instagram Mkemi ametaja sababu za kujiondoa Yanga.
Kusema Kweli Viongozi Hatukwepi Lawama Hizi Kwa Hakika Tumepata Aibu Kubwa.
Nikiwa kama Kiongozi napaswa kuwajibika kwa Hili
Ni hatua nzuri ya kupisha Mawazo mapya kwa Wanachama wengine kuongoza Timu na Kutupeleka Mbele.
Pia ningependa kuwashauri Viongozi wenzangu wajitathimini na ikibidi nao waachie Ngazi Ufanye Uchaguzi Mkuu kwa Pamoja tupate Viongozi wapya kabla msimu Mpya Haujaanza
Napenda kuomba samahani kwa wote niliowakwaza na nimesamehe wote walio nikikwaza.
Naomba kutamka Rasmi Mimi Salum Mkemi
Nijaizulu nafasi zangu zote za Uongozi ndani ya Klabu yangu pendwa Young Africans Sports Club "YANGA " kuanzia tarehe ya Leo 03/06/2018.
Nawatakia kila la kheri Viongozi wenzangu waliobaki na Kuwataka Radhi tena Wanachama, Wapenzi na Mashabiki wa Yanga kwa Matokeo mabovu tuliyopata naomba tusameheane.
Nawashukuru kwa Muda mlionipa kuiongoza Klabu hii kubwa Afrika
Naomba Kuwajibika kwa Kujiuzulu
Wenu Mwanachama Mwenzenu Mtiifu
SALUM MKEMI
NIMENG'ATUKA

ADVERTISE HERE