Baada ya kuondoshwa kwenye michuano ya SportPesa Super Cup kwa kipigo cha mabao 3-1 kutoka kwa Kakamega HomeBoyz jana, kikosi cha Yanga kinatarajiwa kutua leo kikitokea Kenya.
Wachezaji wa Yanga wanatarajiwa kupewa mapumziko ya siku chache kabla ya kuanza maandalizi ya michuano ya CECAFA (Kagame Cup) inayotarajiwa kuanza mwezi wa saba.
Katika mwezi huo Yanga pia inakabiliwa na mchezo wa kombe la Shirikisho dhidi ya Gor Mahia.

ADVERTISE HERE