Beki wa kati na nahodha msaidizi wa Yanga Dickson Job amefanyiwa upasuaji wa goti huko Afrika Kusini.
Job alipata majeraha kwenye mchezo wa ligi kuu dhidi ya Simba uliopigwa uwanja wa New Amaan Complex visiwani Zanzibar March 01 na kumalizika kwa matokeo ya suluhu ya bila kufungana.
Majeraha hayo yanaweza kumuweka nje Job kwa muda wa wiki nane au zaidi.


Get well soon Job...!
ADVERTISE HERE