Kikosi cha Yanga kimewasili salama mkoani Dodoma kuelekea mchezo wa ligi kuu dhidi ya Tanzania Prisons.
Mchezo huo utapigwa kesho Alhamisi, March 12 katika uwanja wa Jamhuri. Muda wa mchezo ukiwa saa 2 usiku.

ADVERTISE HERE