Baada ya kutua mkoani Arusha mapema leo, hakuna muda wa kupumzika kwani kikosi cha Yanga kilianza maandalizi kuelekea mchezo wa ligi kuu dhidi ya TRA United ambao utapigwa Jumatano, March 18 katika uwanja wa Sheikh Amri Abeid.
Yanga inazihitaji alama zote tatu katika mchezo huo ili kuendelea kujiweka katika nafasi nzuri kwenye mbio za ubingwa wa ligi kuu msimu huu.
Mabingwa hao watetezi wanaendele kuongoza mbio hizo wakiwa kileleni mwa msimamo na alama 36 baada ya mechi 14.






ADVERTISE HERE