Matchday; TRA United vs Yanga, NBC PL, March 18

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
18 Mar 2026
Matchday; TRA United vs Yanga, NBC PL, March 18

Ligi Kuu ya NBC inaendelea leo ambapo mabingwa watetezi Yanga wako ugenini mkoani Arusha kuikabili TRA United mchezo utakaopigwa uwanja wa Sheikh Amri Abeid.

Ni mechi nyingine ngumu kwa Wananchi ambao karibuni wamekabiliwa na ratiba ya mechi mfululizo, kwa wastani wakishuka dimbani kila baada ya siku tatu kupambana na mechi za viporo.

Licha ya changamoto hiyo, mkufunzi wa Yanga Pedro Goncalves alisema nyota wake watapambana na kuhakikisha wanaondoka na ushindi katika mchezo huo ambao utahitimisha mechi 15 za duru ya kwanza.

Kikosi cha Yanga kilitua Arusha juzi na jana wakapata nafasi ya kukamilisha maandalizi yao katika dimba la Sheikh Amri Abeid ambapo mchezo huo utapigwa.

Mabingwa hao watetezi watakosa huduma ya baadhi ya nyota wake akiwemo beki Ibrahim Bacca na mshambuliaji Depu ambao walipata majeraha katika mchezo uliopita dhidi ya Azam FC.

TRA United inayonolewa na kocha Etienne Ndayiragije imekuwa na wakati mzuri wa kujiandaa na mchezo huo ikipata takribani wiki nzima ya kujifua baada ya mchezo wao dhidi ya Simba uliopaswa kuchezwa March 14 kupigwa kalenda.

Mtanange huo utapigwa saa 10 jioni...

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
11h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
11h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
14h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
15h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
19h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
20h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
20h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’