FT : TRA United 0-0 Yanga, NBC PL

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
18 Mar 2026
FT : TRA United 0-0 Yanga, NBC PL

Mchezo wa ligi kuu ya NBC kati ya TRA United dhidi ya Yanga uliopigwa uwanja wa Sheikh Amri Abeid mkoani Arusha umemalizika kwa matokeo ya suluhu ya bila kufungana.

Ni mchezo ambao haukuwa na mashambulizi mengi, wenyeji TRA United wakikaa nyuma kuzuia huku Yanga wakikosa kasi katika kutengeneza mashambulizi yao.

Unaweza kusema uchovu wa kucheza mechi mfululizo umeanza kuwasumbua Wananchi huku majeruhi nao wakiongezeka.

Mshambuliaji Prince Dube na mlinzi wa kulia Israel Mwenda walishindwa kumaliza mchezo huo baada ya kupata majeraha wakiongeza msululu wa majeruhi.

Ni sare ya pili mfululizo Yanga wanapata huku ikiwa ni sare ya nne msimu huu. Alama 37 bado Yanga ikiendelea kusalia kileleni mwa msimamo wa ligi.

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
3h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
4h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
7h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
8h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
12h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
12h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
12h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
22h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
23h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’